| Washiriki wakipiga picha ya Pamoja na Afisa mfawidhi wa kituo cha MARI, Dr. Joseph Ndunguru |
| Hamza msangi akiwaonesha washiriki jinsi ya kuzalisha mimea kwa kutumia chupa |
| Dr. Fred Tairo akiwaeleza washiriki wa mafunzo hayo jinsi ya kupata vina saba kutoka kwenye sampuli za majani ya mihogo |
| Dr. Fred Tairo akiwaelezea washiriki kazi mbalimbali zifanywazo kwenye maabara ya (molecular laboratory). |
| Washiriki wakimsikiliza mkufunzi |
| Washiriki wakimsikiliza mratibu wa mradi wa chai Dr. Joseph Ndunguru. |





