Wednesday, August 6, 2014

WAKULIMA WA MUHEZA - TANGA WATEMBELEA BANDA LA UTAFITI NA MAENDELEO NANE NANE MOROGORO.

Wakulima waliopata utaalamu wa kuzuia wadudu wanaoshambulia matunda kutoka Muheza - Tanga kupitia kituo cha utafiti wa mazao ya kilimo cha mikocheni (MARI) walipata fursa ya kutembelea banda la utafiti na maendeleo ili kujionea tafiti mbalimbali zinazofanywa na Idara ya utafiti na maendeleo iliyo chini ya wizara ya kilimo chakula na ushirika.

No comments:

Post a Comment